ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 4, 2013

Lile gari alilokuwa anaendesha Mr Nice sasa hivi kapewa Baby Madaha



Baby Madaha ambaye hivi sasa yupo chini ya record label ya Candy n Candy ametoa picha ambazo zinamuonyesha akiwa kwenye gari ambalo amepewa na record label hiyo ambapo according to Baby ni kwamba hili gari ambalo alikuwa anaendesha Mr Nice kipindi kile, sasa hivi amepewa yeye ikiwa ni sehemu ya mkataba wake.

No comments: