ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 25, 2013

MAENDELEO YA MSIBA WA BI MARTHA SHANI WASHINGTON DMV

KWA WATANZANIA WOTE

Marehemu Martha Shani ( 1976- 2013 )
Marehemu Bi Martha akiwa na Mumewe Alex pamoja na Watoto wao Jose na Chris

NDUGU WATANZANIA BADO TUNAHITAJI MSAADA WENU WA HALI NA MALI ILI KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MPENDWA MKE WAKE ALIYEFARIKI GHAFLA SIKU YA JUMAMOSI OCT 19, 2013. KUTOA NI MOYO NA CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KITASAIDIA NA HATIMAE KUWEZESHA SAFARI HII NDEFU YA KUMPELEKA MAREHEMU KATIKA MAPUMZIKO KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE TANZANIA
TUNGEPENDA KUWAJULISHA KUWA JUMUIYA YA WATANZANIA (DMV) IMEPATA PUNGUZO LA GHARAMA (DISCOUNT) ZA  KUMSAFIRISHA MAREHEMU NA FAMILIA YAKE AMBAPO KWA SASA KIASI KINACHOHITAJIKA NI $ 16,500

FEDHA PAMOJA NA AHADI ZILIZOPATIKANA  HADI SASA  NI 12,370
BADO TUNAHITAJI $ 4,130

TAFADHALI TUMA RAMBI RAMBI ZAKO KUPITIA ACCOUNT IFUATAYO :-
# 446030759150 BANK OF AMERICA,MD
ROUTING # 052001633
MAJINA KWENYE ACCOUNT NI ALEX KASSUWI & FAITH ISINGO

CHEKI ZINAWEZWA ANDIKWA KWA ALEX KASSUWI AU FAITH ISINGO.

PIA UNAWEZA KUTOA RAMBIRAMBI ZAKO KWA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU AMBAKO NDIKO MSIBA UPO
ADDRESS NI 
482 ARWELL CT
FREDERICK, MD,21703
AU WAWEZA WASILIANA NA MMOJA YA WANAKAMATI HAPO CHINI NA KUMUELEKEZA UPO WAPI ILI AWEZE KUKUSANYA MCHANGO WAKO 

Tino Malinda -240-565-7133
Dickson Mkama - 301-661-6207
Mariam Mtunguja - 240-422-1852
Quizella Ntagazwa - 240-602-5011
MV Mtunguja- 240-593-0575
Victor Marwa - 240-515-6436

Faith Isingo - 240-705-1055
Julius Manase-240-393-8445
UKISOMA UJUMBE HUU TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO, WAJIBU HUU NI WETU SOTE NA KWA PAMOJA TUNAWEZA
HAKUNA KIDOGO PALIPO NA NIA. NA HAKUNA KIKUBWA PALIPO NA UMOJA.

No comments: