Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mgonjwa Kaka wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour, Abuu Amour Juma (73) aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili, wakati alipomtembelea kumjilia hali jana hospitalini hapo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment