Omar Karma kushoto mfanyakazi wizara ya Fedha na Uchumi katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Idd Sandaly walipokutana Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC siku ya Jumatano Oct 9, 2013. Omar Karma na Idd Sandaly wanatoka wilaya ya Mkinga mkoa wa Tanga, wamesoma wote Masjid Qubbah na Ununio Boys High School na baadae Omar Karma alihamia Alharamain. Omar Karma na Idd Sandaly wametukumbusha ule usemi usemao milima haikutani lakini binadamu hukutana.
No comments:
Post a Comment