ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 5, 2013

MDAU USA ANAMTAFUTA MTOTO WA MIAKA 8 ALIYEOGELEA NA KITOTO KICHANGA KWENYE AJALI YA BOTI ZIWA TANGANYIKA


Mimi ni Ndugu Mtenga kutoka Tanzania na kwa sasa nafanyakazi Portland Oregon USA.
Langu ni ombi la habari kuhusu msichana wa miaka 8 aliyoogelea na kitoto kichanga mgongoni kutoka kwenye ajali ya mashua( Boat) iliyozama ziwani Tanganyika.
Naomba kama una hiyo habari utakuwa umenisaidia sana maana nataka kutafuta njia yakumzawadisha huyo mtoto. Email yangu ni kama itakavyojitokeza bali pia nivizuri nikaiandika hapa djmtenga@yahoo.com.
Nawatakia kila la heri nikiwa na matumaini kwamba nitapata msaada ninaotarajia.

No comments: