Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.
Washukiwa walikamatwa jana karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza wakifanya biashara hiyo haramu....
Baada ya upekuzi wa kina, mteja alikuwa ana milioni 100 na mganga alikutwa na kiganja cha binadamu ambacho kilikuwa kibichi kikitoa damu.
Kiganja hicho kilikuwa kimevishwa tunguri na nywele za binadamu.
No comments:
Post a Comment