ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 9, 2013

MGANGA WA JADI AINGILIA KATI MGOGORO WA WEMA NA PENNY KUHUSU DIAMOND. AMWAMBIA PENNY AFIKE HARAKA KWENYE KILINGE CHAKE AMALIZE KAZI!

Mganga na mtaalamu wa miti shamba nchini ambae anatokea mkoa wa Tabora aliyejitambulisha kwa jina la Kamdege amesema kuwa anasikitishwa sana maumivu anayoyapata mtangazaji wa kituo cha DTV DVJ PENNY kwa sababu ya mwanamuziki Diamond hivyo afike ofisini kwake mara moja ili ammalizie tatizo hilo.
Akiongea na Xdeejayz kwa simu namba 0788-844490 Kamdege alisema kuwa unyama na ukatili anaowafanyia mabint mwanamuziki Diamond unaweza kukomeshwa endapo mmoja wa wasichana hao wakaamua kufanya maamuzi magumu hivyo mimi namsihi sana Penny kama hizo taarifa za kumwagwa na Diamond zinaukweli basi afike haraka ofisini kwangu nimalize biashara kwani hilo ni tatizo dogo sana kwake.
Hata hivyo mganga huyo ndiye aliyepiga simu kwenye blog hii na kuongea hayo huku mwandishi akitaka kujuwa namana atakavyomsaidia Penny kunusuru penzi lake” Hapana huwa hatuweki wzi azma hiyo na hatudhuru mtu kwa uchawi hapa miti shamba inatembea tu lakini nawaahidi watanzania si kwa Diamond tu bali ni kwa mtu yeyote mwenye kuona anasalitiwa na mwenza wake basi hapa ndipo dawa yake hupatikana” Alisema Kamdege.
Aidha mtaalamu huyo aliongeza kusema hata matatizo ya kiafaya, kikazi, kwa wenye kesi mahakamani na wangependa kesi hizo zifutwe, kupandishwa vyeo nk kwaje yanatatuliwa haraka.

2 comments:

Anonymous said...

Hakuna mganga zaidi ya Mungu! Na Russia kusema hakuna mganga zaidi ya Mungu- hao wanang'ang'ania wangekuwa wanajua madawa kiukweli kabisaaa wangekuwa ma-millionea woote kabisaaa lakini waganga Woote ni masikini wa mwisho hawana hata kausafiri na wengi wao Kama si woote wanaishi kwenye nyumba za kupangisha pembeni ya choo au bwawa la mavi au Maji machafu! Aibu zao Woote waaminio waganga wakienyeji na hongera zao Woote waliitao jina lake Mungu/Allah .,,,, diamond,pennieli na wema mnahitaji kuombewa nyie.

Anonymous said...

Waliomuua Erasto wawahi tuone watakavyotoka.