Watoto hawa walipigwa picha siku ya Jumatatu nchini Lesotho katika eneo la milimani la nchi hiyo, kabla ya sherehe ya ufunguzi wa shule moja ya wavulana ya Herd katika eneo la vijijini la Mateanong iliyojengwa na shirika lisilo la kiserikali la Sentebale, lililoanzishwa na Prince Seeiso wa Lesotho
Wakati wa sherehe za Eid, mjini Mogadishu, watoto wanacheza kwenye vifusi, vya majengo wakiwa na bunduki bandia.Walipokea bunduki hizi bandia kama zawadi ya Idd.
3 comments:
Lengo la hii habari nn
Huo ndo ugaid
I hope uleti udini hapa kuidhalilisha dini fulani. Si habari.
Post a Comment