Hajji Khamis Mwenyekiti wa New York Tanzania Community
Wakati akighaini shairi la kumuenzi Mwalimu Nyerere
Katika tukio la kumuenzi Baba wa Taifa la Tanzania lililofanyika Umoja wa Mataifa mjini New York, siku ambayo pia ni kumbukumbu ya kifo chake miaka 14 iliyopita, mwakilishi wa Jumuiya watanzania mjini humo Haji Khamis alighani shairi kuhusu maisha ya mwalimu na mchango wake kwa Tanzania. Na alianza kwa salamu…
9 comments:
Asante Hajj kwa kutukumbusha utamaduni wa mtanzania.
hongera zako hajj kumbe unasauti nzuri sijajua basi nakuomba kwenye harusi yangu utakuja kuniimbia please. hongera sana
HAJI KWA KWELI UNAKAZI BUTI HUENDA UKAJA KUWA KIONGOZI WA TANZANIA SIKU MMOJA HONGERA ZAKO AU BALOZI WENZIO WALIANZA HIVYO HIVYO BIGA BUTI UTAFIKA BABA HONGERA ZAKO NA UNASAUTI NZURI MARIDHAWA HONGERA HONGERA BABAAA KADOGO
Ahsanteni Sana kwa maneno yenu mazuri na ya kutia moyo na yenye changamoto.M/Mungu aniwezeshe nizidi kuwa msaada kwa wenzangu kwa kushirikiana nanyi....Hajji K.
Ahsanteni sana kwa maneno yenu mazuri yenye kutia nguvu na yenye kunipa changamoto.M/Mungu aniwezeshe niwe msaada kwenu kwa msaada wenu.Pamoja tutafika.....Hajji K.
Ahsanteni sana kwa maneno yenu mazuri ya kutia nguvu na kunipa changamoto ya kutamani zaidi kufanya kile ambacho siku zote nimetamani kukifanya,Kusaidia wenzangu.M/Mungu aniwezeshe na pamoja tuweze kufika safari ndefu iliyo mbele yetu..Hajji Khamis.
Ahsanteni sana kwa maneno yenu mazuri na ya kutia moyo,yenye changamoto yenye kuongeza mapenzi yangu katika kusaidia wenzangu.M/Mungu aniwezeshe niwe msaada mzuri kwa wenzangu kwa msaada wao...Ameen....Hajji Khamis.
Alaaa sheikh Hajji kumbe anga zote unacheza sio! Safi mkuu.
mashaallah Hajji naomba niwe mwanafunzi wako wa kusoma utenzi/shairi.
Post a Comment