ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 3, 2013

NANDO AWALETA NCHINI WASHIRIKI WA BBA‘THE CHASE’,KUANGUSHA BONGE LA PATI CLUB BILLICANAS

Mshiriki Wa BBA The Chase 2013 Kutoka Tanzania Ammy Nando amewaandalia mashabiki wake Party ijulikanayo kama AMMY NANDO’S TEN DAYS PARTY.
Katika pati hiyo ambayo itakuwa ya aina yake itafanyika kwa muda wa siku kumi , kuanzia October 3 hadi Octoba 13 Club Billcanas,Dar.
Washiriki wa shindano la BBA watakao kuwepo katika pati hiyo usiku wa leoni pamoja na Annabel kutoka nchini Kenya,Bimp kutoka nchini Ethiopia,Beverly wa Nigeria,Bolt,Angelo wa Sauz,Hakeem na Fatima wa Malawi ambaye anasherekea siku ya yake ya kuzaliwa leo.

No comments: