Mwandishi Bin Zubery http://bongostaz.blogspot.com ambae ndio alipata ruhusa ya kulipiga hili gari picha ameandika ‘Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England imeonekana leo Dar es Salaam lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa ambapo vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili.
Costumer made pesa inaongea na nafasi ya kuzitumia pesa hizo kwa kufanya kitu ukipendacho ni hapa hapa duniani. Ukiwa na pumzi usizozilipia kutoka kwa manani.
4 comments:
Huyu Bakhresa angeanzisha mahospitali kila mikoa maana ana wateja wengi mnooooo na wengine wanakufa tu hovyo na baadae aanzishe kampuni ya ndege kwa safari za ndani na nje ya nchi... Ila asiwadhamini tena MaCCM maana hawafai na walishataka kumtia umaskini kwa kumwaga ngano yake wakidai ni mbovu kumbe ni kisasi tu.
Mbona la kawaida tu sanaaa!!!!
Labda hilo jina la Brabus, lakini body na muundo wa hiyo gari inafanana kabisa na gari aina ya mercedes benz-cross country (GD).
Jamani tulio USA kuna different between spoon and Shovel. Hii ni G-Class ya Mercedes Benz customized by Brabus a Germany venture which is solid in customization. This puppy can go up to 243 Miles/Hour, G-Class from Mercedes office can't. The price tag for 2013 is 1Million for V12 and 950K for V8. Let the truth be told hii sio gari ya kawaida.
mdau wa Kwanza quit telling people with their own money how to spend. Why you didn't tell Bill Gates to fund Obamacare, there are million of American without insurance ask gates to open his own company and cover them.
Post a Comment