
Wengi wa wahamiaji ni wa kutoka Somalia na Erritrea. Wasomali hawana amani nchini mwao wakati nchini Eritrea hali ya kibinadamu sio nzuri sana

Wahamiaji hawa kwa sababu ya kutokuwa na stakabadhi za usafiri, hulazimika kufanya safari hatari za baharini kwani kwao bora wafike Ulaya

Zaidi ya watu miamoja kumi na watu wamepatikana wakiwa wamekufa maji na wengine miambili bado hawajulikani waliko

Baadhi ya waliookolewa walipelekwa katika vituo vya afya kupata matibabu
No comments:
Post a Comment