ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 12, 2013

NEW YORK TANZANIA DREAM TEAM MAZOEZI DAIMA MBELE JUMAPILI PALE PALE BROOKLYN.NY HII WOTE MNAKARIBISHWA

 Mazoezi yanaendelea jumapili hii mbele daima akuna kurudi nyuma akuna kusahau jumapili hii kuna wachezaji wageni wanakuja kujiunga na team yetu. Kuanzia saa tano asubuhi wote tuwe tumefika uwanjani tayari kwa mazoezi. New Yorkers we ready to gooooooooooooooooo come and show your skills. Safari ya Houston TX Thanksgiving Soccer tournament  wafadhili wamesha kuwa tayari hila wanataka kuona mazoezi ya nguvu. Mmoja wa wafadhili Ali Chunda amesha tangaza  kutoa ticket 6 za ndege kwa washabiki wanaotaka kwenda safari hiyo ya Houston TX. 
 New York One kama kawaida akipiga jaramba tayari kuweka mwili sawa tegeo la NYTDT golini. 
 Hamza aka rasta kipara akiwa na Childboy beck asiyechafuka habari ndiyo hii
 Akida Jr, mbuyu ulianza kama mchicha kwaiyo nitegemeao la NYTDT baadae akifanya vituz
 Ngunguri ngunguri tu wachezaji wako tayari ukisiona kuna manyoya jua tayari kumepunyuliwa

1 comment:

Anonymous said...

wananifurahisha sana wanatu wa new york umri umeshakimbia bado tu wanadijai kusaka kabumbu si bore mpoa tu na baridi ya huko kwenu kwenye majumbani mwenu. wacheni watoto damu changa wasake kabumbu bwana.

nimecheka leo hadi basi nilivyoiona hii picha ha ha ha ha new york new york serebukeni ha ha ha