Kesho Ndiyo Kesho Jumamosi Reading Mheshimiwa Amani Golugwa Amewasili Tayari Kwa Kazi Iliyomleta - OPARESHENI KOMBOA TANZANIA.
Video Hapa Chini Mh Golugwa Mwenyewe Akiwakaribisha Rasmi waTanzania. Comunity Hall/Back Garden, 44 Watlington street, RG1 4RJ Reading tarehe 05-10-2013.
Usikose mambo makubwa. BBQ Kabambe ya Kufunga Mwaka.
CHADEMA UK inawakaribisha waTanzania na wapenzi wote wa CHADEMA kwenye barbeque (End of the Year BBQ) party itakayofanyika Comunity Hall/Back Garden, 44 Watlington street,RG1 4RJ Reading tarehe 05-10-2013.
Mgeni rasmi atakuwa ni mwanasiasa mwenye kipaji cha pekee na muhimili muhimu wa CHADEMA – katibu wa CHADEMA Arusha na kanda ya kaskazini ndugu Amani Golugwa.
Itakuwa ni siku nzuri kujiburudisha kwa nyama choma, vinywaji na muziki free of charge. Lengo ni kuwakutanisha wapenda maendeleo katika kubadilishana mawazo na kujumuika katika harakati za kimaendeleo kwa taifa.
Hii shughuli si kwa wanaCHADEMA peke yake. Kila mTanzania mpenda maendeleo anakaribishwa kuhudhuria. Ni wakati mzuri kukaa pamoja tukijiburudisha huku tukibadilishana mawazo on party lines kiutu uzima bila malumbano. Wakati ni huu kuonesha utashi na ukomavu wa kisiasa.
Chakula na vinywaji bure!!!
Karibuni wote

1 comment:
NYAMA CHOMA YA KUKOMBOA NINI? TANZANIA ILIKOMBOLEWA MWAKA 1961 KUTOKA KWA HAO WATU AMBAO MNAFANYA BARBAQUE NCHINI MWAO. WHAT YOU ARE ADVERTISING IS SHEER FANTASY AND STUPIDITY. TOO MUCH NOISE FROM CHADEMA AND NO MUSCLES. BRING IT ON IF YOU GOT GUTS NORTHERN BOYS AND GIRLS...TANZANIA UNDER CCM IS ROCKY STEADY FOREVER! THERE WILL BE NO SECOND LIBERATION OR FIRST REVOLUTION FOR THAT MATTER IN TANZANIA. SORRY CHADEMA FOR YOUR WISHFUL THINKING. REMEMBER OSCAR KAMBONA? HE USED TO MAKE SILLY NOISE FROM LONDON SIMILAR TO THE NYAMA CHOMA NOISE IN MANCHESTER, AND FOR HEAVEN SAKE HOW FAR DID HE GO?
Post a Comment