ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 11, 2013

PEENY AKANUSHA TAARIFA ZA KUUGUA SABABU YA WEMA NA DIAMOND

Kuna taarifa zilienea jana kupitia mitandao ya kijamii kuwa .
mchumba wa Diamond yupo hoi hospital baaada ya kuona picha za Diamond naWema.akichat na Sam wa sammisago.com.Penny amekanusha taarifa hizo kuwa siyo za kweli.na siku nzima alikuwa kazin kwake.

2 comments:

Anonymous said...

Mmezoea vy kunynga chinjeni jamani!!

Anonymous said...

kazi kweli kweli!