Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakizungumza na mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette
Mtambo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji
jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani(Picha na Freddy Maro)


No comments:
Post a Comment