Advertisements

Thursday, October 3, 2013

RED CAPERT MISS TANZANIA BAADA YA KUWASILI MJINI DODOMA:

Miss Tanzania akifanya Mahojiano na Wiston Makangale kutoka 97.7 nyemo Fm Dodoma:
Boss Ngasa akimpatia Mkono wa Pongezi Miss Tanzania Hapiness Watimanywa
Mdau wa burudani katika Mkoa wa Dodoma wakunyanyua vipaji vya wasanii wa Dodoma ambaye ndiye Mwandaaji wa wimbo wa Miss Tanzania kwa wasanii wa Dodoma, Anaitwa Silasi ni Producer maarufu sana kutoka Dreams Record ambayo ipo Mkoani Dodoma maeneo ya Makole

No comments: