Shilole na skwadi lake wakilishambulia jukwaa usiku huu.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,ambaye pia ni mtoto wa Mkongwe wa muziki wa dansi hapa nchini,Mzee Zorro,Maunda Zorro akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu kwenye uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga wakati tamasha la Serengeti fiesta 2013 likiendelea. 

Shilole kama kawaida

Mwanadada Linah ambaye anafanya vyema katika ya muziki wa Bongofleva akicheza na shabiki wake jukwaani.




Hii picha ya juu ni ya upande wa kulia mwa stage
Meninah kwenye stage

Walter Chilambo mshindi wa BSS 2012.
Ney Lee.
Linah.
B12 ndio alikua host wa show nzima
Godzilla kutoka Salasala
Hii picha hapa juu ni upande wa kushoto mwa stage




Juma Nature alikuepo pia

Young Killer wa Mwanza Mwanza

Young Killer na Stamina.


Mr. Blue


Rich Mavoco

R.I.P kwa wote waliotutangulia kama Langa, Sharo Milionea na Ngwair.

Cassim Mganga

Mwana FA na Ay.

J Martins kutoka Nigeria alikuepo pia… hapa ni wakati alipoamua kumzawadia huyu mtoto cheni aliyokua amevaa pamoja na pesa za kitanzania.



Ay, J Martins na Mwana FA wakicheza bila kukunja goti.

Dully Sykes ni miongoni mwa waliofanya kazi nzuri sana yani…

Maunda Zorro
pichani juu na chini ni Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria,J-Mrtin akitumbuiza jukwaani usiku wa leo,kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.
Mzee wa Masauti,Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu ndani ya uwanja wa Mkwakwani
Sehemu ya mashabiki wakishangweka huku manyunyu ya mvua yakisumbua hapa na pale usiku huu.span.
Mkali mwingine wa miondoko ya mitindo huru,God Zilla akishusha mistari yake mbele ya mashabiki wake waliokuwa wakiitikia kwa pamoja,ndani ya uwanja wa mkwakwani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea,sambamba na hali ya hewa ya mvua mvua huku mashabiki wakiendelea kupiga mayowe na miluzi kila kona ya uwanja.
Msanii ambaye ni muigizaji lakini pia anasumbua sana katika anga ya muziki wa bongofleva,Shilole sambamba na skwadi lake wakilishambulia vilivyo jukwaa usiku huu wakati tamasha la serengeto fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.










2 comments:
uchezaji gani huu ndo maana ukimwi haushi na vizazi vyetu vinapotea wanaofaidika ni wachache tuu muwe na akili watanganyika wenzangu acheni upuuzi huu someni ndeni shule ndo msingi wa maendeleo yenu
ny mdau anayekutakiyeni mema
Hujalazimishwa kuangalia hii blog,mbona ziko nyingi tu za kuangalia,acha kudandia treni kwa mbele,kuna watu humu wanakera sana mara funika picha mara ukimwi ni akili yako mwenyewe luka tupe vitu ushauri wangu wafungue blog zao alaaaa.Usimpangie mtu kwenye kazi yake mbona yeye haji kazini au makwenu kuwarekebisha kwani nyie hamna makosa hamfanyi mabaya?Mwacheni Luka wa watu alaleeeefanyeni yenu afanye yake mpo hapo?usibanie hii coment na wewe.
Post a Comment