Mwandishi wa kituo cha Itv /Radio One Ufoo Saro aliyepigwa risasi nyumbani kwao eneo la Kibamba jijini Dar es salaam na kukimbizwa kwa matibabu ya haraka katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, ambapo katika tukio hilo mama yake mzazi na ufoo saro aliuawa kwa kupigwa risasi huku mhusika aliyefanya tukio hilo naye alijiua kwa kujipiga risasi kichwani
1 comment:
Ni makoa makubwa kwa wazazi kuishi na watoto wao ambao ni wanandoa.
Post a Comment