ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 29, 2013

Taarifa kutoka kwa Fid Q kuhusu Poetry Addiction Third Fix



Hii itakuwa ya tatu tangu Fareed Kubanda aanze kuandaa Poetry Addiction “Uraibu wa ushairi” ambapo hivi sasa itawahusisha wasanii kama Khethi kutoka South Africa,Charlotte O’neal.Jade,Aichi,Vee Money,Africa Trina,Grace Matata na Fid Q mwenyewe.

Kutoka kwa Fid Q ni kwamba show hii itafanyika palepale alipofanyia first fix,second fix na hii third fix itakuwa pale Triniti tarehe 1 Nov kwa damage ya Tsh 10,000. Slogan ya third fix ni “If this is a man’s world, it’s because Women dont want it, Ya dig”.

No comments: