ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 29, 2013

ALEX KASSUWI NA DMK WAWASILI TANZANIA, MWILI WA MAREHEMU KUWASILI JUMATANO

Brg. Gen. Emmanuel Maganga(kati) akiwapokea DMK (kulia) akiwa na Alex Kassuwi wakiwemo familia yake Uwanja wa Ndege Dar es salaam leo mchana (saa za Dar es salaam). Mwili wa marehemu ulikuwa uwasili Leo Jumanne usiku lakini ukachelewa Amsterdam na badala yake utawasili kesho Jumatano Oct 30, 2013

1 comment:

Anonymous said...

poleni sana ndugu zetu. Mwenyezi mungu awape nguvu na amuweke marehemu mahali pema peponi.