Familia ya Rais mstaafu mzee Ali Hassan Mwinyi inasikitika kutangaza kifo Cha mjukuu wao mpendwa Ali Hashim Othman kilichotokea jana. Msiba utakuwa nyumbani kwa Rais mstaafu Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho, tarehe 21 oktoba, adhuhuri huko yombo."
No comments:
Post a Comment