Timothy Mshomi Enzi ya uhai wake
Tunasikitika kuwatangazia kifo cha ghafla cha ndugu yetu,Timothy Mshomi,mtoto wa Bariki Mshomi na Anna Kasidi wa Minnesota,kilichotokea Alhamisi asubuhi nyumbani kwao Rogers Minnesota.
Msiba utakuwepo katika anuani ifuatayo:
New Wine Church,810 31st Street West,
Minneapolis MN 55408.
Barabara ya Lyndale Ave na 31st Street.IJUMAA 10/11 KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA SITA USIKU NA JUMAMOSI 10/12 KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA SITA USIKU.
Akina mama mnaombwa kuleta chakula na akina baba mnaombwa kuleta vinywaji kama juisi,soda,maji na vifaa vya kulia disposables vijiko,sahani,vikombe,umma nk.
Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba au chakula/vinywaji unaweza kuwasiliana na:
Dr.Crispin Semakula 651-983-7637
Gracious Msuya 763-439-5626
Sally Semakula 651-983-7632
Dada Lau 651-329-1421
Jackson Mollel 651-334-0163
MUNGU AKUBARIKI NA MTAARIFU NA MWINGINE.

1 comment:
OMG! Poleni sana DA Anna na Kaka Bariki,famili yote ya Mshomi na Kasidi. Tunawaombea mungu awape uvumilivu sana katika kipindi hiki kigumu. Mungu ampumzishe kijana wetu kwenye nyumba ya milele!
Post a Comment