ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 20, 2013

TANGAZO LA MSIBA WASHINGTON -DMV


                                       MAREHEMU- MARTHA SHANI
NDUGU ALEX KASSUWI WA FREDERICK MARYLAND ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MKE WAKE BI MARTHA SHANI KILICHO TOKEA GHAFLA JANA  TAREHE 19 OCT 2013 SAA 11 JIONI KATIKA HOSPITALI YA FREDERICK MEMORIAL.

KAMA ILIVYO DESTURI YETU TUNAOMBA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI TUJUMUIKE NA FAMILIA YA MAREHEMU KATIKA WAKATI HUU MGUMU. TARATIBU ZOTE ZA MSIBA ZINAENDELEA SASA HIVI NYUMBANI KWA MAREHEMU FREDERICK,MD.
MAREHEMU AMEACHA MUME (ALEX KASSUWI) NA WATOTO WADOGO WAWILI JOSEPH NA CHRISTIAN.
MSIBA UPO NYUMBANI KWA BWANA ALEX KASSUWI FREDERICK, MD.

                                                           ADDRESS NI-
                                                           482 ARWELL CT
                                                           FREDERICK, MD,21703

                     BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

                                    KWA MAELEZO PIGA NAMBA ZIFUATAZO


MARIAM MTUNGUJA - 240-422-1852
MV MTUNGUJA - 240-593-0575
VICTOR MARWA - 240-515-6436

DICKSON MKAMA - 301-661-6207
AUGUSTINO MALINDA -240-565-7133
JULIUS MANASE -240-393-8445
QUIZELLA NTAGAZWA - 240-602-5011
FAITH ISINGO - 240-705-1055

6 comments:

Iska said...

R.i.p Martha.mwenyenzi mungu amekupenda zaidi.Alex na familia yako mwenyezi mungu awatie nguvu.

Sinza madukani mate said...

Pole sana Alex mwenyezi mungu ndiye yeye pekee atakaye kusimamia.

Anonymous said...

pole sana kwa wafiwa Mungu awape nguvu kwa kipindi chote,kweli duniani wote ni wasafiri njia yetu ni moja,hakuna ajuae saa wala siku...jina la bwana libarikiwe.

Baraka Daudi said...

Mungu ailaze roho ya dada yetu Martha mahali pema pepono, Mkuu Alex Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na mpendwa mke wako. Maombi na sala zangu kwako na familia yako kwa ujumla. Nipo pamoja na nyie.

SOZY said...

R.I.P MARTHA,NA POLE SANA ALEX KASSUWI MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU WEWE NA FAMILIA YAKO.

BY SOZY

Anonymous said...

Poleni sn kwa msiba wapendwa mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha msiba kaka Alex ww na familia yako tuko pamoja hasa ktk sala