ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 10, 2013

TASWIRA KUTOKA BAHARI YA HINDI NYAKATI ZA ASUBUHI KATIKA ALAKATI ZA WAVUVI JIJI DAR KATIKA SOKO LA KIVUKONI

Mvuvi nchini Tanzania anatazama akiona mitumbwi ya kuvua samaki na wavuvi wakiwasili kutoka baharini asubuhi na mapema.
Pindi wanapowasili, wavuvi hukimbia sokoni na samaki wao waliowavua kwa siku hiyo kuelekea kuwauza katika soko la kivukoni. 
Si Samaki pekee wanaovuliwa bali pia Pweza hawa wanaoaminika kuongeza nguvu za kiume mwilini

No comments: