Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, akishangilia bao lake aliloifungia timu yake katika kipindi cha kwanza, ambapo bao la pili na la tatu yamefungwa na Hamis Kiiza. Hadi timu hizo zinakwenda mapumziko Yanga ipo mbele kwa mabao 3-0.
Wachezaji wa Yanga, wakishangilia na kumpongeza mwenzao Hamis Kiiza baada ya kutupia bao la tatu, alilofunga baada ya pasi nzuri kutoka kwa Didier Kavumbagu.
Hamis Kiiza, akishangilia bao lake la pili, alilofunga kutokana na mpira wa kurushwa na Mbuyu Twite. KWA MATUKIO YA PICHA ZAIDI YA MTANANGE HUU KAA NASI HADI MWISHO
Picha kwa hisani ya Sufiani Mafoto
1 comment:
Hapo ndipo thamani ya ukocha inapoonaka. Anakwenda mapumziko na timu iliyofungwa na kipindi cha pili anrudi uwanjani na timu mpya kabisa. Kocha wa samba anauwezo wa kuusoma mchezo na kuubadilisha. Hakuna mshindi lakini ni dhahiri kuwa yanga wamepoteza mchezo.
Post a Comment