Hapa ni Dr Temba na Chief Mwakalinga wakipeana mkono na kupata ukodak wa vijimambo kama ishara ya kuzika tofauti zao na sasa kuwa na amani miyoni mwao. Nijambo zuri kuona hawa wazee wetu wamepiga picha ya pamoja kama marafiki tena baada ya kutofautiana kwa muda. Jambo ili lilitokea Nyerere Day kwenye ukumbi wa watanzania mission New York. Community inatakuwa kuwa kitu kimoja ili hiwe mfano wa kuigwa na vijana, Marumbano yasiyo jenga na yasiyo kuwa na (Evidence Reflection) yazikwe na kuendelea kuwa na community imara siku zote. Kama West Berlin na East Germany waliweza kusameheana, hakuna kinachoshindikana kwa watanzania tuliojawa na upendo mshikamano tuliorithishwa na Baba wa Taifa.
Hapa ni Chief Mwakalinga, Dr Temba, Dr Seruhere, Na Mh, Balozi Mwinyi
Huu ni ukuta ambao ulitenganisha West Berlin na East Germany lakini walipatana na kuvunja ukuta huu na kuwa kitu komoja.
Na hapa ni Statue inayoonyesha kuombana msamaha na kumaliza tafauti zao.

No comments:
Post a Comment