ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 17, 2013

WATANZANIA WAKUTANA NYUMBANI KWA JOSEPH JERSEY CITY KUMPA POLE BAADA YA KUFIWA NA KAKA YAKE UKO TANZANIA.

Hapa ni katibu wa New York Tanzania Community bwana Mhella akiongea jambo nyumbani kwa Joseph Jersey Cty. Joseph kamefiwa na kaka yake uko Tanzania. Bwana Mhella aliambatana na Mweka hazina msaidizi Dr Temba pamoja na watanzania wengine. 
Dr Temba  kulia akimsikiliza bwana Seif Akida katikati 
Joseph akipata ukodak na kati ya watu waliekuja kumpa pole bwana Waluye na mama mwenye nyumba wake.
Tifa kutoka Brooklyn NY akipakua chakula kwa ajili ya wageni waliofika nyumbani kwa Joseph kumpa pole
Bwana Mhella na kushoto ni Adela wakichukua chakula
Watanzania wakipata ukodak na mfiwa nyumbani hapo



2 comments:

Anonymous said...

jamani Joseph ni kaka yako yupi aliyefariki Tanzania mbona tunauliza nakushangaliwa

Anonymous said...

Huo ni msiba kweli? Mbona Kama Watu wanasherehekea?