Salum Akida aka Stam akiwa na mpira katikati akifanya vitu vyake hayo ni mambo ya New York Team.
Mazoezi yanatia moyo team full music mnene kila idara mambo yanajipa kazi kwa team pinzani
Kisaka aka (kiraka cha chuma) akichanja mbuga tayari kuleta maafa kwa team pinzani, Mubar aka (itekee tuu) akijaribu kumzuia.
Akuna kuzeeka bado Ny yupo yupo saana licha ya kuwa na umri wa miaka 40z bado anawakimbiza vijana
Omy aka Short akijiandaa kugawa pande, Utaipenda tu New York Tanzania Dream Team ni kisima cha vipaji mchanganyiko njoo ujifunze chini ya kocha mchezaji Bilal aka Dj ......kwa picha zaidi.....
Deo aka (Profesa vipi) akijaribu kumzuia Omy aka Short asitoe pande akajikuta anapishana na mpira.
Chini na juu New York One Peter aka Ankal akijaa Golini utajikuta unampa tonge mdomoni jipange kumkabiri
Tajiri mtoto Dullar Brooklyn katikati akivuta pumzi njee ya uwanja uku vijana wakipiga jaramba mwisho ni Ibra aka mshauri wa benchi la ufundi atoki mtu apa ukitia mguu.
Umoja ni nguvu, na ujenga udugu, pamoja na urafiki wa kudumu New York Tanzania Dream Team Daima Mbele Akuna Kurudi Nyuma. Jumapili hii Dr Temba anakuja na jersey yake #3 mgongoni. Na pia kuna wachezaji wapya team itajigawa sehem tatu na kutacheza kwa mtoano.
Ny also known as (Nyagaly) akiwa na Msami aka Mzee wa (Raizoni) wako full gado
Mzee wa Raizoni yupo fit team pinzani mjipange saana kupasua upande wake usije kujikuta kiatu na mpira vinaacha mwili.
Ujuzi hauzeeki Nyagaly akijipanga kabla ya kuingia uwanjani kupiga jaramba habari ndiyo hii Houston TX Hodi hodi Thanksgiving........ Mmejipangaje?.
2 comments:
Team new York ni wazee lakini endelezeni hiyo jitihada za mazoezi mtapokuja hapa DMV ni kibano cha magoli kidogo ni 7 ok guys keep it up. I'm just sayin don't be scared tunakusubirini well come to DMV.
Wadau tunawaona muda wote na uzi mzuri. Fanyeni kweli basi msaidia bongo.. kidogo hata hizo beebs. Kunda madogo wengi sana wanacheza mpira na kukosa vitu vidogo kama soksi/viatu.
Options nyingi tu za kusaidia madogo huku ni uamuzi wenu tu wapi. Wala sio lazima vipya..used zitatosha tu.
Give a little back..when you have a chance.
Post a Comment