Emma Kiando
Omby Nyongole
Queen Mkelemi.
Ma Winny Casey
Asha Nyang'anyi
Na Mwandishi wetu DMV
Miss Tanzania USA Pageant ambayo itafanyika November 30, 2013 DMV ipo chini ya waandaji Emma Kiando, Omby Nyongole, Queen Mkelemi, Asha Nyang'anyi, Ashura Price wakiwa chini ya Ma Winny Casey ambao jana siku ya Jumapili Oct 13, 2013 walifanya Annual Adition iliyofanyika Nectar Lounge iliyopo Silver Spring, Maryland kwenye mtaa wa Georgia.
Washiriki kwenye miss Tanzania USA Pageant ambao ni watoto wa Watazanzia waishio hapa DMV ni Joy Kalemera, Namala Elius, Helena Maria Nyerere, Alice Mhina na Julia Nyerere na pageants wote walipita mbele ya jopo la majaji watano ambao ni Dinna Michieka Obuya, Millicent Queen, Peter, Walden, Queen Mkelemi na Iska Jojo.
Maandalizi ya miss Tanzania USA pageant yalikua mazuri kasoro iliyojitokeza ni kutofanyika jitihada za kuitangaza vya kutosha, kitu kingine ni kasoro ya muda uliotangazwa kwenye flyer ambao ulisema shughuli ingeaza saa 2 usiku na kuisha saa 4 usiku badala yake walinza saa 12 jioni.
Pageants walinza kwa kupiga picha kwenye chumba chao cha kubadilishia nguo na baadae kutembea kwenye zuria jekundu na kujitamburisha majina yao huku wakiwa wamevaa vazi la kutokea. Awamu ya pili walitembea kwenye zuria jekundu wakiwa mawevaa vazi huku wamefunga khanga tofauti na awamu ya kwanza, walipita kwa majaji kwa mbwembwe na madoido ya ulimbwende na maadae waliulizwa maswali matatu ambao washiriki wote waliyajibu kwa ufasaha na ustadi mkubwa.
Baada ya hapo ilikuwa ni kipindi cha kupiga picha ambao walimbwende wote walipiga picha kibao kutoka kwa mpiga picha maalum aliyeletwa na waandaaji kwa kaiz hiyo.
Na baada ya hapo washiriki wote na wageni waliokuwepo walipata mulo wa jioni na kanywaji ambavyo vyote vilikuwa bure ikiwemo kiingilio.
15 comments:
Casting call ya nini wakati washindani wenyewe watano tu. Waandaaji ni wengi kuliko participants..hivi ni vichekesho vya hali ya juu. Tunataka kuiga mambo halafu hatuyawezi..anyway keep trying u never know
Mbona picha zilikuwa nyingi, but humu hatuzioni
Washiriki mbona wachache sana. ..warembo wa DMV jitokezeni kwa wingi mana inavunja moyo.
Sasa muaandaji ashura bonto! Kutakuwa na mashindano ya ngumi pia? Nauliza tu... Na mashindano gani ya watu Watano? Kumi bora ni majaji... Jipangeni kwanza sio mnakurupuka tu.. Halafu watu wasipokuja museme wana DMV Hawana ushirikiano kumbe wenyewe mnafanya mambo ya kijinga.. Luke usiibanie
DMV ACHENI KASHFA BE POSITIVE PEOPLE!!! YOU ALL NEGATIVE PEOPLE NAONA MNA PERSONAL ISSUES. THIS IS THE FIRST TIME KINAFANYIKA BADALA YA KUTOA MAWAZO HOW TO CONVENCE MABINTI WA KIBONGO WAJITOKEZE TAYARI MMEANZA KASHFA. NDIYO MAANA HATA WATOTO WETU WANAOGOPA KUJITOKEZA. LET ALL POSITIVE PEOPLE BRING POSITIVE ENERGY HERE ILI TUPATE MORE CONTESTANTS. DJ LUKE PLEASE PUT POSITIVE THOUGHTS HERE WE DO NOT NEED NEGATIVE ENERGY!!
WELL DONE LAKINI HAWA SIO MODELS MSITUMIE NENO MODELS HAWA NI PAGEANTS :-) pongenzi ziwafikie wote hata mbuyu ulizanza Kama MCHICHA. :-) LB
WATU WANAFANI ZAO NA WANA MAJUKUMU YAO,WEWE KAANGAA VITUNGUU NA TUSHAKUJUA NA ROHO MBAYA HAKUNA ASIYEKUJUA DMV NZIMA KUWA WEWE RAIS CHUKI CHOYO FITNA NA UNAFIKI...WATU WAKO WEWE KAA HIVYOHIYO NA KINACHOUKUUMA HUKUSHIRIKISHWA KWENYE HAYA MASHINDANO...ASHURA BONTO KIBOKO YAKO HULALI WA HUPUMUI UKIMUONA UNAPATA PRESHA NA NDIO ITAKUUA NA NYASSO NA OMBY NA MAMA WINNY NA EMMA VIBOKO YAKO.ENDELEA KUUZA NGUO ZA MAFUNDI WA KINIGERIA UJIPA UMAARUFU USIOKWENDA SHULE,ANGALIA GROUP HILO NI WATU WENYE HESHIMA HAWAENDI KWENYE MABLOG KUJITONGOZESHA. ASHURA FANYENI NA mISS MOROGORO MNET FACE OF AFRICA NYASSO QUEEN MKELEMI NA OMBY NA EMMA DIRECTORS OF MISS TANZANIA USA PAGEANT.
Mimi namtaka Maggie munthali..missy temeke waingie pia. May b itakuwa a real pageant..then ill b there
Haaaa ANONYMOUS UMENIFURAHISHA! Kila kitu kina wakati wake. Unless hao unaowataka waje wapo under 30yrs!!!! TUNATAKA YOUNG GIRLS, SIO KINA MAMA! Utakaa nyumbani sana kama hao ndo unaowataka watuwakilishe kwenye Miss Africa USA! Pole
maggie munthali na missy temeke umri hauruhusu. nimesikia mwisho ni 30
Jamani naomba nifahamisheni ni nini tofauti hasa ya peajons na models? Samahani nimesoma ola sijaelewa kizungu!
Hata hiyo kitu kidogo mnaanza mabifu hamuoni hayaaa?always kumdhania mtu ni dhambi wewe wa pili umedhanni wa kwanza ndio kakupiga kijembe na wewe ukajibu pasipo kufikiri saa nyingine wala si yeye ila kwa kua una beef nae basi automatically ukajua ni yeye Kumbuka kuna watu wamekaa pembeni ndio hao wanaoandika ili mtupiane maneno wenyewe wametulia wawaona nyie wajinga na mnajivunjia heshima hapa mjini.( mshajivunjii anyway).kaeni mfikirie kwa undani.Mwisho wenu hautokua mzuri.Asante.
Kumbuka hakuna bina-ADAM yeyote ambaye ni kiboko wa bina-ADAMU mwingine iweke akilini hiyo, wewe anoy wa oct 14/ wa saa 4.33 pm.
Wewe annoy wa oct 14 una matatizo.. Huyo unaemtetea Kama is wewe mwenyewe Ana wagomvi kibao Hapa mjini DC kwanza kumsakama Mtoto wa watu ili iweje.? Kuna Wengi hawapendezwi kabisa na Tabia yako infact 90% ya wanadmv unawaboa kwa kutokujiheshimu... If I were u ningekaa china na kufikiria what am I doing wrong..ili ujirekebishe.. Na umri haukuruhusu tena kufanya ujingA wa kitoto.. Maoni yangu tu.. Na hakuna kiboko ya mtu zaidi ya Mungu .
Wekeni requirements zao pageants ili kelele zipungue maana kuna maajuza humu wanalialia. Anzisheni ya kwenu kama nyie ni haters wa Ma Winny,Ashura bonto. Haikusaidii kuanza kuattack personal bila ideas za pro/cons za hiyo show.
Post a Comment