Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.
1 comment:
safi sana tunahitaji watu kama hawa jama yuko fresh na mkweli tungekuwa na watu kama zitto nchi hii ingekwenda mbali sana xmas wakuu wote wako majuu wanakula raha
Post a Comment