ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 8, 2013

ASKOFU MSTAAFU AMOS GIMBI KUHUBIRI JUMAPILI/RETIRED BISHOP AMOS GIMBI AT SWAHILI SERVICE.

Ndugu Washarika,
Salaam katika Jina La Yesu Mwokozi.
Karibuni tena Jumapili katika ibada yetu ambapo Askofu mstaafu Mzee Amos Gimbi ndiye atakayehubiri katika ibada.Pia Jumapili washarika wenzetu wameamua kumtolea Mungu shukrani ya pekee. Tunaombwa kuwasindikiza wenzetu Jumapili kama ilivyo kawaida yetu.
Wahudumu Jumapili ni Nd Flavianna Tesha na Nd Diana Semakula.

Karibuni tuabudu pamoja tumsikilize mtumishi wa Mungu na kuwasindikiza wenzetu kushukuru jinsi Mungu anavyowasimamia na kuwalinda katika maisha ya kila siku.

Mbarikiwe na Bwana,
Mch. Andrea Mwalilino.


Dear Congregants,
Greetings in the Name of our Lord Jesus Christ.
Please join us Sunday at our regular worship service. We are blessed to have retired Bishop 
Amos Gimbi who will deliver the sermon. Also we have fellow congregants who have decided to have special offering Sunday thanksgiving to Gods blessings in their family. We are requestes as our tradition to join them in this celebration of thanksgiving.Witnessing Gods blessings.
Ushers on duty Sunday are Ms Flavianna Tesha and Diana Semakula.
We look forward to see you Sunday and hear the message from Gods Servant Bishop Gimbi,also to join our fellow congregants in celebrating Gods blessings by special offering.
Be Blessed,
Rev. Andrea Mwalilino.

4 comments:

Anonymous said...

Tunashukuru kwa mwaliko Mch.
Swali: Address iko wapi? Jibu(......)
Asante,
Mdau.

Anonymous said...

Ingekuwa ni vizuri if you guys could be more specific from denomination stand-point. Not all bishops are created equal. Je, unamzungumzia askofu wa kanisa katoliki, Anglican, Adventist, Lutheran, or non denomination? Inawezekana walengwa wa tangazo lako wanakuelewa, lakini kama kuna wageni ambao pengine wangependa kushiriki, hujawaambia ibada itafanyikia wapi, na saa ngapi. For fututr refence, hakikisha tangazo lako limejibu "what, why, when, who and where" This is just a matter of common sense. It neither need rocket science nor theology. Mungu awabariki.

Anonymous said...

Denomination may not be very important sana to me but, the venue where the mass is going to be held ni mhimu sana. pia ibada inaanza saa ngapi?

Anonymous said...

Mchungaji tangazo lako halieleweki. Ni vizuri kama ungejipanga kabla ya kwenda hewani ili kulinda heshima ya kichungaji au unaweza kum-assign mmoja wa washirika wako akusaidie kwenye dipartment ya matangazo.