Kesho Jumanne Novemba 12, 2013 Kijiwe cha ughaibuni kitakuwa na akina Benja Mwaipaja na Yasin Randi ambao wamerudi kukata kiu ya mashabiki wao waliokuwa wakiwauliza wapo wapi na wamewaahidi kukutana japo mara moja kwa mwezi ili kwapa burudani mashabiki wao waliokuwa wakiwaulizia muda mrefu
3 comments:
Karibu Benja Kariiiibu..ngoja niandae mbavu zangu. Kijiwe kinarudisha majeshi yake.
We love you Benja
Benja hahaaaaaaaaaaaaaa wellcome back bro..kesho nikucheka tu.Benja 4 life.
Duuuh afadhali umewarudisha hawa jamaa kwenye kipindi ili kichangamke maana walianza kutuletea makanjanja kibao ..mpaka wengine wanawaogopa wakenya na wanigeria...bora umeturudishia majembe ya ukweli..karibuni sana...Benja na Yasin.
Post a Comment