Wednesday, November 20, 2013

BERRY WHITE ATEKETEZA GARI LA MPENZI WAKE KISA USALITI

Gari aina ya Toyota Spacio baada ya kuteketezwa kwa moto na Berry White.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Berry White.

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Berry White anadaiwa kuliteketeza kwa moto gari la mpenzi wake aina ya Toyota Spacio baada ya kuhisi anasalitiwa na wandani wake huyo. (GPL)

No comments: