Bado kazi ya kurekodi video za Diamond huko Nigeria inaendelea na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwa Diamond akiwa nchini humo na mwenyeji wake Davido.
Diamond akiwa na Davido. Nyuma yao ni tuzo za Davido.
Daimond akiwa na Davido ndani ya studio.



No comments:
Post a Comment