
Dj Rankim Ramadhan
Habari zilizotufikia hivi punde Dj mkongwe na mtangazaji wa redio Rankim Ramadhan amefariki leo jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Rankim Ramadhan aliweka stutus kwenye facebook siku chache kabla ya kifo chake akisema "anasikia maumivu makali na hapo alipo hajala siku tatu na madaktari wanasema Appendix ndiyo inayonisumbua" lakini habari toka kwa marafiki wa karibu na Dj Rankim Ramadhani wansema marehemu alikua anasumbuliwa na vidonda vya muda mrefu.
Vijimambo ilipoongea na Dj Young Millionaire alikuwa na haya ya kusema MSIKILIZE
2 comments:
hii picha sio nzuri kabisa. weka picha nyingine bwana hii sio rahisi watu kumkumbuka.. mie mwenyewe wa kwanza mpaka nilipoona ktk magazeti mengine
Dj hebu jifunze kufikiri. Sio kila comment ni ya kupublish.. Hiyo msg nilikuandikia wewe mwenyewe kwa kukusaidia katika blog yako. Sasa umebadilisha picha na bado umeipublish hiyo comment huon kama unawachanganya wasomaji? Huoni kama watajiuliza picha ina ubaya gani
Post a Comment