Wazee wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,wakiwa katika mkutano na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba.Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Hamadi Bakari Mshindo,Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,John Shija,(kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa huo Mohamed Ali,akizungumza na Baraza la Wazee Mkoa wa Kusini pemba katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Bw.Dhamir Kombo Foum,wa Makoongwe jimbo la Mkoani alipokuwa akitoa mchango weke wakati wa mkutano wa Wazee wa Baraza la Wazee la Mkoa wa Kusini Pemba,chini mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba.Mama Shadya Makame Haji, wa Chambani Wilaya ya Mkoani,alipokuwa akitoa rai wakati wa Mkutano wa Kutathmini na kutoa rai za Kuongeza Nguvu katika uhai wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini,wakati wa Mkutno wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Kusini katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba. Mjumbe wa Baraza la Wazee wa CCM Haji Hamadi Kombo, kutokaTawi la CCM Mkoroshoni Wilaya Chakechake,alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa Mkutno wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Kusini katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Haji Omar Kheir,akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyoulizwa katika Mkutano wa baraza la Wazee wa CCM na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Hifadhi Hotel Chakechake, akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini PembaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Serikali,Wakuu wa Mikoa,Maafisa Tawala na Maafisa Wadhamini,ukumbi wa Ikulu ya Chake chake Pemba alipomalizia ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:
Post a Comment