
DR. SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA
Kwa mujubu wa "Hussein Bashe" ; taarifa zilizotufikia kutoka ilpark Hospitali Ndugu yetu Mvungi Amefariki Mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. Wahalifu wamekatisha Uhai wake wakati akifanya Jukumu zito kwa Ajili ya Taifa letu.
Jambo hili linaumiza sana Mungu amlaze mahari pema peponi.
Poleni Tume ya Katiba, Poleni NCCR.
Poleni Familia pamoja na ndugu na jamaa.
Jambo hili linaumiza sana Mungu amlaze mahari pema peponi.
Poleni Tume ya Katiba, Poleni NCCR.
Poleni Familia pamoja na ndugu na jamaa.
MTANDAO HUU UNATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU

6 comments:
huyu dakatri, Hussein Bashe, anatakiwa apewe heshima kubwa sana: "alifanaya jukumu zito kwa ajili ya Taifa Letu"
R.I.P Mvungi
RIP Dk Mvungi. Simfahamu ila nimesikia uchungu sana sana. Ana uhusiano na akina Nakiete?
YOTE HII ILAUMIWE SEREKALI YA KITANZANIA KWA UDHAIFU WA KUWA NAO KWA KUWALINDA RAIA WAKE,
MAAFA YATAFANYIKA MPAKA LINI HIVI SASA NI BORA KUISHI NIGERIA KULIKO KUISHI BONGO.
KILA SIKU RAIA WANASHAMBULIWA NA SILAHA KALI KALI .HATA HAIELEWEKI NI KWA NINI NA HAKUNA HATUA YEYOTE INAYOCHUKUJILWA
REST IN PECE DOCTOR
m mungu ampumzishe kwa amani peponi amin
waandishi mzingatie R l inakera kwa kweli na ni aibu .
mungu amlaze" mahari" pema peoni ni mahali nasio mahari
Jamani Jamni Jamani ni nini hiki? Tanzania jamaniiii ahaaaaa! mbona hiviiiiiiiiii? Oh! nimeumia, nimeumia! Poleni familia poleni sana . Poleni wapenda amani na maendeleo ya nchi yetu! tumefikia pabaya Mungu atuangazie.
Pumzika kwa amani ya Mungu Baba!!!
Post a Comment