ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 12, 2013

Mtoto Camila na uandishi wake

Camila ni mtoto wa miaka kumi ambaye anapenda kuandika matukio na hadithi za ubunifu.hivi ndivyo alivyo andika alipoulizwa kuhusu msimu huu wa hali ya hewa tulionao kwa wakati huu.


1 comment:

Anonymous said...

safi sana mungu akubariki sana na akuongoze katika dunia hii na mafanikio mema tunahitaji watoto kama hawa katika taifa letu nimependa sana hii issue mtoto wetu wewe kwa watanzania wote unatuwakilisha vizuri sana mungu awaongoze vema wazazi wako pia.amen