Bryan Mwombeki na Mwenzake Stephano Deloe waliibuka washindi wa Tennis SE Washington DC. Mechi hii ya watoto ilifanyika jioni ya Novemba 15,2013. Wamefaulu kwenye mpambano wa Tennis ya watoto Washington DC mwaka 2014. Coach vivian mwenye Track suite ya bluu akiwa na watoto Bryan na Stephano. Bryan alimshinda mpinzani wake Jacob Pool 4-1. Pia kwenye picha ni Mama wa Bryan Mwombeki, Bi. Bernadeta Kaiza na rafiki wa karibu wa familia Bi Elvira Patrick.
Bryan akiwa na kikombe chake.
Bryan Mwombeki na Mwenzake Stephano Deloe katika picha ya pamoja na mwalimu wao wa Tennis
No comments:
Post a Comment