mwl. Osckar P. Yagaza.
Familia ya Yagaza tunapenda kutoa shukhrani za dhati kwa ndugu, jamaa, na marafiki walioweza kushiriki nasi katika hali na mali wakati wa msiba wa mtoto, kaka, baba, na mjomba mpendwa Mwl. Osckar P. Yagaza. Mungu aliye asili ya wema wote azidi kuwabariki kila iitwapo leo.
Raha ya milele uumpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani.
Asante.
No comments:
Post a Comment