ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 7, 2013

FLAVIANA MATATA WAKIWEMO PSPF KUHUDHURIA SHEREHE YA UHURU DMV

Wawakilishi wa Public Service Pension Fund (PSPF) watajumuika pamoja na wanaDMV siku ya Uhuru Desemba 7, 2013 wakiambatana na mlimbwende wa kimataifa Flaviana Matata. Mgeni rasmi kwenye sherehe hii atakuwa Naibu Waziri wa mawasialiano, sayansi na teknologia, Mhe. January Makamba.

Sherehe hii ya Uhuru imepata baraka kutoka kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ukiwemo uongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV ambao upo bege kwa bega na watayarishaji wa sherehe hii.

Unaweza kutembelea mtandao wa Public Service Pension Fund (PSPF)  kwa kubofya hapa

 Juu na chini ni twasira mbalimballi za mlimbwende wa kimataifa Flaviana Matata katika matukio mbalimbali

1 comment:

Anonymous said...

huyu kweli mlimbwende original.mavazi classic nimekubali.tuko pamoja dmv.