
Canal Top wa kwanza kushoto
Madawa ya kulevya ni noma sana, yamesababisha vijana wengi wenye tamaa kuishia kunyongwa au wengine wapo sero mpaka leo. Habari zilizotufikia ni kua msanii kutoka kundi la Akudo Impact maarufu kama CANAL TOP kakamatwa china akiwa na sembe AKA UNGA aka MADAWA YA KULEVYA. Sasa bado hatujajua kesi yake inaendaje but mashushu wetu chna watalifanyia hilo kazi na kuja na majibu sahihi ambayo tutawaletea wasomaji wetu
Chanzo: Bongoclan
2 comments:
Hiviii Ni kwanini wanaishi daw kuelewa kuwa sheria ya nchi nyingi ikija kwenye swali la sembe Ni kaali sana na waweza hata kuchinjwa au kunyongwa Kama kuku? Sasa Kama wanataka kujikita kwenye sembe si wafanyie Tanzania? Kwanini wanajiamini kwenda kuuzia nchi za Watu?????? Mie naona wanyongwe tu huko china aiseee hakuna huruma hata kidogo! Halafu biashara hii haramu imebobea sana na vijana hawataki tena kufanya kazi Bali kutaka pesa haramu za haraka haraka!
na tujiulize mbona wanaowapa hizi dawa wakuu wa nchi na watoto wao hawakamatwi unadhani bitoz kama huuyu katowa wapi kama hajapewa na wakuu wa nchi hiii tuacheni michongo na longa longa za hapa na pale tuangalia full picture in a wide screen na turushe nuninga watu wafunguke macho
Post a Comment