Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua.wakati wa shughuli za maziko ya mtoto wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula) zilizofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakiweka mashada ya maua
Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim,akiwaongoza mawaziri wenzake wastaafu, kuweka mashada ya maua.
picha na OMR



No comments:
Post a Comment