ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI, MILLEN MAGESE AJENGA SHULE MTWARA


Miss Tanzania 2001 Millen Magese na hivi sasa ni mwanamitindo wa kimataifa amejitolea kwa jamii ya kitanzania huko Mtwara “Mji Mwema” kwa kujenga shule,kununua madawati, kujenga kisima cha maji na mambo mengine kutoka kwake mwenyewe.
Wanafunzi wa shule hiyo walikuwa wanasoma kwenye shule iliyojengwa kwa udongo na kukaa kwenye mawe lakini hivi sasa kutokana na kazi nzuri ya Millen wanasoma kwenye jengo zuri pamoja na kukaa kwenye madawati. Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwa Millen zikionyesha maendeleo ya shule hiyo


moja ya majengo yashule anayojenga magese











1 comment:

Anonymous said...

God Bless your Soul.