ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

MWANA FA KULONGA NA VIJIMAMBO JUMATATU

Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Mwana FA siku ya Jumatatu Novemba 18, 2013 atalonga na Vijimambo ataelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani je yeye ni mfuasi wa Freemason? Je anamchumba? na kama anaye mchumba wake ni nani na lini anaowa? kati ya Ali Kiba na Diamond nani anamkubali na mengene mengi USIKOSE KUMSIKILIZA SIKU YA JUMATATU

No comments: