- TRA wametoa tarehe ya mwisho ya kununua mashine za EFD
- Kila mfanyabiashara mwenye mauzo kuanzia shilingi milioni 14 na kuendelea kisheria anatakiwa kuwa na mashine. TRA imetambulisha matumizi ya mashine za EFD kutolea risiti na Ankara kwa kila mauzo yatakayofanyika.
- PowerComputers ni wasambazaji rasmi wa mashine za TRA, pia tunasambaza kwa wateja waliosajiliwa kwa VAT inayohusisha printa za risiti na mashine za ETR.
- PowerComputers ina miaka 13 ya ujuzi mkubwa kwenye kusaidia na kuhudumia. Tuna ofisi Tanzania nzima kusaidia na kurahisisha huduma.
Mobile: +255 656 760 050, 686 677 755, 767 084 602
No comments:
Post a Comment