ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 7, 2013

Mazishi ya Marehemu Dj RanKeem katika makaburi ya Sinza, jijini Dar leo

Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kuelekea kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan ukifikishwa kwenye Nyumba yake ya Milele.
Wadau mbali mbali wakiwa kwenye Mazishi ya Marehemu RanKeem Ramadhan jioni hii kwenye Makaburi ya Sinza,jijini Dar es Salaam jioni hii. Picha kwa hisani ya Mtaa kwa Mtaa Blog

No comments: