Saturday, November 23, 2013

MHE ZITTO KABWE, DK KITILA KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI HABARI KESHO JUMAPILI

Mheshimiwa Zitto Kabwe.

Taarifa imetolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni.

Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5.00 asubuhi.
Imetolewa na ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe, Dar es Salaam.
Jumamosi, 23 Novemba 2013.
Dar es Salaam.

1 comment:

Anonymous said...

Kama ngozi ya uso ya mh. mbunge inaonekana hivyo, je ngozi za sura za wapiga kura wake zinaonekana vipi?