ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

Misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania na Jubilee ya Dhahabu (Golden Jubilee) ya Uhuru wa Kenya.


Wapendwa Wote
Mnakaribishwa sana kwenye Misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania na Jubilee ya Dhahabu (Golden Jubilee) ya Uhuru wa Kenya.
Mahali:- Ibada itafanyika katika kanisa katoliki la Mtakatifu Edward 
(St Edward Parish 901 Poplar Grove St. Baltimore, MD 21216. 
Kwa Mawasiliano:- Pius Mutalemwa 1-301-404-6901
Padri Leandry Kimario - 443-675-8896
Pd. Shao 443-827-9741, Baraka Daudi 301-792-8562

Tarehe 8 Desemba 2013. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Baada ya Misa wote tunakaribishwa Ukumbini kwa mlo na viburudisho. 
KARIBU / KARIBUNI SANA
Tafadhali wataarifu na kuwakaribisha ndugu na jamaa zako.
Kama una swali au maoni unakaribishwa kujibu barua pepe hii au Piga simu namba hizo hapo juu.
Asante sana 
Pd Evod Shao

No comments: